RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

Saturday, July 14, 2012

USHUHUDA-NILIWEKA MIGUU YANGU KATIKA LUNINGA YA EMMANUEL TV

Source: www.rumaafrica.blospot.com

Hapa kuna ushuhuda mwingine kutoka kwa mtazamaji wa Emmanuel TV Zimbabwe ambaye alipokea uponyaji wakati TB Joshua anawaombea watazamaji wa Emmanuel TV duniani nzima

"Kwa jina ninaitwa Bw. S Shava  na nina miaka 59. Ninatokea Zimbambwe, ni mtazamaji sana wa Emmnauel TV. Nilikuwa na matatizo ya miguu yangu yote. Tatizo lilianza miaka minigi iliyopita lakini kila siku ugonjwa ukawa unaongezeka dhidi umri wangu unavyozidi. Nilikuwa napata maumivi makali sana chini ya miguu yangu. Kutembea kwangu kulikuwa kwa shida! Daktari alijitahidi sana lakini alinishauri kubaki nyumbani kwangu iwezekanavyo na kuachana na kujipa mawazo

Kwahiyo siku moja nilipokuwa natazama Emmanuel TV, Nabii T Joshua akaanza kuomba kwaajili ya watazamaji. Sikujua ni nini kilinijia, lakini niliamua kuchukua hatua ya imani na kulala chini ya sakafu mbele y luninga yangu. Na nikaweka miguu yangu juu ya luninga wakati TB Joshua akiomba! Muda baadae nikaanza kusikia maumivu katika miguu yangu, kama kitu kilikuwa kinajilazimisha kutoka nje ya miguu yangu! Nikaita moja wa wajukuu zangu kuja kunisaidia. nilifikiri labda kulikuwa na mwiba katika mguu wangu. Cha kustaabisha vitu vikaanza kutoka katika miguu yangu! sindano kubwa na ndogo zikatoka zisizohesabika. Mjukuu wangu alikuwa akitumia sindano na hivyo vitu vikawa vinazidi kutoka. Baadae kidogo, nikaanza kutembea kwa uhuru na bila maumivu! Namshukuru Mungu kwa uponyaji wake waajabu! Utukufu kwa Mungu!

Kama wewe au mwenzako anaushuhuda kuhusiana na kuangalia Emmanuel TV na kuomba pamoja na Nabii TB Joshua tunakuomba usifiche ushuhuda huo!!! Tutumie kwa barua pepe info@emamanuel.tv

Translated by Rulea Sanga +255 715 85 15 23

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

“I PLACED BOTH MY FEET ON THE SCREEN OF EMMANUEL TV”

July 6, 2012

Here is another wonderful testimony from a viewer of Emmanuel TV in Zimbabwe who received her healing as Prophet T.B. Joshua was praying for viewers worldwide on Emmanuel TV.

“My name is Mrs S Shava and I am 59 years old. I am from Zimbabwe, in the Midlands region and I am a regular viewer of Emmanuel TV. I used to have severe problems with both my legs. The problem began many years ago but was gradually getting worse and worse as I grew older. I always felt serious piercing pain under my feet. It made walking around a hard task! Doctors had tried their best but eventually just advised me to remain in my house as much as possible and not stress myself.

“So, one day when i was watching Emmanuel TV, Prophet T.B. Joshua began praying for the viewers. I don’t really know what came over me but I decided to take a step of faith and lay down on the floor in front of my television. I then placed both my feet on the screen as Prophet TB Joshua was praying! Moments later my feet began to itch terribly, as if something was trying to force itself out! I called one of my grandchildren to come and help me. I thought that maybe there was a thorn on my foot. To my greatest surprise, many things began to come out of my feet! Both small and big pins came out as did countless long thorns. My granddaughter was using a needle and these objects just kept coming out. Immediately afterwards, I began walking freely and with no pain! I thank God for this wonderful healing! Glory be to God!”

If you or anyone you know has a testimony to share through watching Emmanuel TV and praying along with Prophet T.B. Joshua, please don’t hide your testimony!!! Send us an email to info@emmanuel.tv and testify to what Jesus has done in your life.

Join in prayer with Prophet T.B. Joshua. Distance is not a barrier for the Holy Spirit!

No comments:

Post a Comment