RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

RULEA SANGA IN SCOAN NIGERIA (TB JOSHUA)

MWALIKO WA RULEA SANGA KWA NABII TB JOSHUA APRILI 2012. MUNGU NI MWEMA: TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA APRIL 2012

SAFARI YA BLOGGER RULEA SANGA NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI EMMANUEL MABISA KUELEKEA NIGERIA LAGOS KWA NABII TB JOSHUA
Tuliakwa na Nabii TB Joshua baada ya kuvutia na blog hii unayoaiangalia na kuvutiwa na kikundi cha Glorious Celebration alichokiona kwa kupitia blogu ya rumaafrica
SAFARI ILIKUWAJE?
Tunamshukuru Mungu kwa kutulinda na kutufikisha salama jiji Lagos Nigeria kwa  Nabii TB Joshua.
Safari yetu ilianzia jijini Dar es Salaam mida ya saa 8:00pm usiku kuelekea Ethiopia Adis Ababa, tulifika Ethiopia mnamo saa 7:00 mchana na baada ya hapo tukakaa airport kwa muda wa masaa matatu tukisubiria ndege ya kwenda Nigeria-Lagos. Muda ulipofika tuliingia katika ndege kuelekea Nigeria. Tulipofika katikati ya Nigeria na  Ethiopia, rubani wa ndege akatangaza kuwa katika ndege kunatatizo la oil (oil reckage) na tukaambia na wahudumu kuwa kila mtu afunge mikanda vizuri.

Baada ya kupewa hizo habari watu walianza kuwa na wasiwasi sana na wengine wakaanza maombi. Ndege ikaanza kuyumba huku inashuka taratibu na kuyumba sana. Rubani alifanikiwa kuigeuza ile ndege na kuelekea Ethiopia, Hali ilikuwa ngumu sana na ikasababisha watu kulia na wengine kukazana na kuomba. Mungu akatusaidia na kufanikiwa kufika Ethiopia Airport ambapo watu walilazimika kushuka na kuunganishiwa ndege nyingine.

Mungu alionekana "live" akiwatetea watumishi wake ambao walikuwa wakielekea kwa Nabii TB Joshua wakitokea Tanzania. Kwa akili ya kawaida ni ngumu sana kuamini kilichotokea katika safari hiyo.  Mungu aliokoa roho za watu takribani 400 ambao wangepoteza uhai wao au kuumia kama ajali ingetokea.


Muda mchache tuliunganishiwa ndege nyingine kuelekea Nigeria ambayo ilitufikisha salama  na baada ya kufika airport tulipokelewa na wenyeji na kuelekea katika mabasi yaliyokuwa yanatusubiri. Mabasi hayo yalitupeleka mpaka kanisani kwa TB Joshua (SCOAN of Synagogue) ambalo lipo mjini Lagos.

 kanisani hapo. Na baada ya kumaliza zoezi hilo tulipelekwa sehemu ya chakula na mahalipa kulala.


Haya ndiyo mambo yaliyotokea kwetu toka tulikotoka Tanzania, Dar es Salaam kuelekea  Nigeria-Lagos

UNASEMAJE KUHUSIANA NA TB JOSHUA?

Muache Mungu aitwe Mungu. Tunamshukuru TB Joshua kwa kutupa upendeleo wa kuonana naye uso kwa uso na kwa jinsi alivyojitolea kutulipia gharama zote za kutusafirisha kutoka Tanzania mpaka Nigeria SCOAN Synagogue na kutugharamia chakula na malazi kwa kipindi chote tulichokuwa Nigeria.

Mtumishi wa Mungu anafanya kazi ya Mungu kwa Moyo wake wote na akili zake zote. Ni mtumishi anayependa sana kusaidia watu wasiojiweza na wenye matattizo mbalimbali. Hapendik kuona mtu unalegea katika kazi ya Bwana.

Nitazidi kukuletea mafundisho tuliyoyapata kutoka kwa Nabii TB Joshua, ila kwa sasa ningependa kuwaonyesha tu yale aliyotufanyia Watanzania.

Ewe mdau wa blogu yangu naomba uangalia jinsi alivyotuhudumia.
 Rulea Sanga akiwa Aiport ya Tanzania

 Emmanuel Mabisa akiwa airport ya Tanzania


 Ndani ya Ndege ya Ethiopian


Ndani ya ndege wakati inayumbayumba na kukosa muelekeo kutokana na kuvuja kwa oil

 Safari mpya kulekea Nigera baada ya kurudishwa Ethiopia Adis Ababa kutokana na tatizo la ndege

 Rulea-ndani ya ndege baada ya kurudishwa Adis Ababa 

Ndege iliyokuwa na matatizo ya kuvujika kwa oil ikiwa Ethiopia Adis Ababa 
 Rulea-nikishuka baada ya kurudishwa Ethiopia kutoka na tatizo la ndege kuvuja oil angani
 Emmanuel Mabisa akielekea katika basi la abiria katika aiport ya Adis Ababa- Ethiopia
 Rulea-Katikati nikiwa ndani ya basi la abiria-Ethiopia
 Emmanuel Mabisa akielekea lkatika basi la abiria Ethiopia Airport
 Nikiwa katika Aiport ya Adis Ababa nikisubiroia ndege nyingine ya kunisafirisha kuelekea Nigeria-Lagos

 Nikiwa Airpot, choka mbaya
 Nikiwa katika korido la ndege ya Ethiopia, tayari kwa safari ya Nigeria


SAFARI YA NDEGE
KUTOKA DAR - ETHIOPIA ADISS ABABA
Chakula katika ndege ya ETHIOPIA

TUKIWA NIGERA SCOAN
 SCOAN Synagogue-Nigeria Lagos upande wa mbele







 Watanzania wakiwa sehemu ya mapokezi inayoitwa "Prayer Line" mara baada ya kufika Nigeria, siku ya kwanza

TUKIELEKEA KANISANI KATIKATI YA WIKI
Hii ndio Synagogue 
Emmanuel Mabisa wa pili kutoka kulia akionyesjha SCOAN Synagogue
Mabisa akiwa katika Prayer Line
Eneo la maombezi linaitwa Prayer Line. Pia ni sehemu kwa wageni wanaotembelea SCOAN
 Mabisa akiingia ndani ya SCOAN Synagogue kwa mara ya kwanza
 Rulea nikiingia ndani ya Synagogue kwa mara ya kwanza
 Ndani ya Synamgogue karibu na madhabau

Hii ninayoonyesha ni A/C ya kanisa ambayo iko karibu sana na madhabau
Nikiwa jukabisa ambakp watu wengine hukaa katika ibada
Hawa waliokaa ni wengine kutoka nchi mbalimbali, Rulea Sanga nikiwa nipiga koti jeusi upande wa kushoto kati ya hawa waliosimama

SIKU YA IBADA-JUMATATU
Nikiwa na Mtanzania mwenzangu kutoka Moshi-Tanzania

Hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa wakati wa mkesha
Tukimsifu Mungu 



PICHA ZA KUOMBEWA KUTOKA KWA WATANZANIA
Picha za watu wenye uhitaji kutoka kwa Grac Wangwe na Neema



TUKIWA IBADANI




SIKU YA MATEMBEZI
 Sehemu ambayo wanatengeneza mikate kwaajili ya wafanyakazi na wageni na wenyeji pia
 Sehemu ya fundi seremala
 Tukielekea sehemu ya wanyama anaowafuga TB Joshua
 Dada kutoka South Africa (kushoto) akiwa na dada kutoka Ethiopia
 Sehemu ya mifugo
 Rulea Sanga akipata maji yenye upako ambayo hugawia getini bure


 Emmanuel Mabisa (kushoto) akiwa na Frank kutoka Dar es Salaam pamoja na mtoto wa cordinator wetu Martha wa Masaki Dar

Siku ya matembezi, tukionyeshwa sehemu mbalimbali


 Ujumbe wenye kukutia moyo na kukuweka karibu na Mungu
 Rulea Sanga akiwa ndani ya Synagogue floor ya juu

 Wageni wakiwasikiliza watengenezaji  wa mikate, jinsi gani wanatengeneza

 Baadhi ya mashine
 Sehemu ya kuhifandhia mikate
 Timu ya mpira wa miguu ya TB Joshua, inasemekana baadhi ya yao ni watu wanaotoka katika familia duni na wageni ni yatima, na wanalelewa na TB Joshua
 Walinzi wa SCOAN Synagogue
 Ngamia zinazofugwa na TB Joshua
 Gari za kubeba wageni za kanisani zikiwa zimepigwa stickers zenye upako

 Plate Number yenye jina la SCOAN
 Frank (kulia) Mtanzania aliyefika SCOAN
 Tukielekea Kanisani

SEHEMU YA KULALA
Blogger Rulea Sanga akitafakari baada ya kukosa net ili imsaidie kurushe matukio ya Nigeria
Mabisa akiwa amejipumzisha
 Mabisa akijiandaa kwenda ibadani siku ya jumapili
 Rulea Sanga wa pili kutoka kushoto, nikiwa tayari kwenda Ibadani siku ya Jumapili
 Makaranga akivishwa tai siku ya jumapili
SEHEMU YA NJE YA DINNING
 Mabisa akiwa katika pozi baada ya kupata chakula cha mchana


 Rulea Sanga nikiwa nje kidogo ya bweni, na haya ni magari ya Nabii TB Joshua

SEHEMU YA KULIA CHAKULA "DINNING"
Tukiwa Dinning Hall 

SAFARI KUELEKEA TANZANIA ILIANZIA HAPA


Rulea Sanga (kulia) na Omega Assey 

 Tukipelekwa Airport ya Nigeria









 Mbele ni Airport ya Nigeria
Kanisa la Kilutheri


TUKIWA NIGERIA LAGOS KUELEKEA ETHIOPIA
 Jane P Mkony akiwa katika korido la kuingia katika ndege
 akiwa bado koridoni

 Jane P Mkony
 Frida Gugu

 Rulea Sanga


 Emmanuel Mabisa
 Rulea Sanga
 Lisabela Ifiga
 Isabela Lifiga
 Naburudika
 Tukimtafakari Mung
Emmanuel Mabisa akiwa ndani ya ndege ya Ethiopia akipiga msosi



TUKIWA ETHIOPIA KUELEKEA TANZANIA













































































2 comments:

  1. My name is Mrs Oben Eveline Ayuk, i've laboured with heart failure and peptic ulcer for six years. I have visited many hospitals in both Texas and Georgia but could not really get any respite. I suffered from severe weakness and had difficulty eating food and drinking water. I virtually lived on medication all through those six years. The doctors advised me against eating starchy foods. They also told me to avoid foods high in cholesterol. In an effort to normalise my lifestyle as much as possible, they offered me an option of temporary relief at a very high price. They said that I would have to provide a whopping 4 million francs to have a special instrument known as a battery inserted into my heart as a palliative measure.

    Thinking that was the end of my life here on earth, along the way, a woman called Mrs Florence Oseremen introduced me to Emmanuel TV and also sent me the Morning Water which i started ministering to myself in faith, I continued to minister it amidst prayers. Gradually, all those debilitating symptoms started giving way to renewed vigour and better well-being. I became strong once again and could do all those things she could not do before now. I now eats good food and drinks water, irrespective of the quantity. To confirm God’s marvellous work in my life, I returned to the hospital and did some tests. When the results were released, they showed that both the heart problem and peptic ulcer were no more. “For all Christians who centre their lives on Jesus Christ, better is not good enough; the best is yet to come.”

    The God of prophet TB Joshua is a wonder working God, if you are outside Nigeria and you need morning water, contact Sister florence Oseremen. ( florenceoseremen@gmail.com ) and expect your breakthrough also. Thanks

    ReplyDelete
  2. Let God be God, He is our healer, our provider, our deliverer, our savior our everything. Thank you Jesus for using your servant Prophet TB Joshua to do these works, Being one of those privileged to enjoy the presence of the Holy Spirit at SCOAN, I say thank you Jesus, no turning back.

    ReplyDelete