RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

Tuesday, July 24, 2012

ASKOFU MWAKANG'ATA AKIWAPA MAJI YA UPAKO (ANOINTING WATER) GLORIOUS CELEBRATION NYUMBANI KWAKE CHANG'OMBE DAR ES SALAAM

Askofu Mwakang'ata baada ya kupata Anointing Water kutoka kwa watumishi wa Mungu ambao walibahatika kufika kwa Nabii TB Joshua Nigeria, aliamua kugawa upako huo kwa Wana-Glorious Celebration nyumbani kwake Chang'ombe.

Nabii TB Joshua alimwalika mtumishi wa Mungu Rulea Sanga kufika katika Sinagogi yake (The SCOAN)  ili aonnane naye  LIVE, na kutaka kujua kazi ya mtumishi huyu kuhusiana na blogu yake ambayo ilimbariki sana Nabii TB Joshua. Rulea aliongozana na kiongozi wa Band ya Glorious Celebration, Emmanuel Mabisa na ikawa baraka kwa BWANA.
 Baadhi ya waimbaji wa Glorious Celebration wakiwa nyumbani kwa Askofu Mwakang'ata, wakisubiria kupata UPAKO kutoka kwa Nabii TB Joshua
 Ilikuwa ni furaha siku hiyo.
 Blogger Rulea Sanga, wa pili kutoka kulia akiwaonyesha baadhi ya clips za Nabii TB Joshua


Askofu Mwakang'ata akihakikisha kila mtu anapata baraka za Mungu kutoka kwa Nabii TB Joshua
 Mama Askofu mwakang'ata akimyunyizia Maji ya Upako, mzee wa kanisa la The Victory Church, Sunga
 Askofu Mwakang'ata na kikundi chake cha Glorious Celebration wakimuomba Mungu
 Huduma ikiendelea, Mungu akifanya kazi yake kwa watu wake kwa kupitia Maji ya Upako. Imma Base akinyunyiziwa maji yenye kuleta amani  na uponyaji
 Imma solo akipokea baraka zake kwa kupitia Anointing Water

No comments:

Post a Comment