RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

Friday, July 20, 2012

MKE ALIYEKUWA ANAUNGURUMA KAMA SIMBA-

Source: www.rumaafrica.blogspot.com

Translated by (Imetafsiriwa na)  Rulea Sanga +255 715 85 15 23
USHUHUDA BAADA YA KUANGALI EMMNUEL TV NA KUTUMIA MAJI YA UPAKO KUTOKA KWA NABII TB JOSHUA

Emmanuel, watu wa Mungu nawasalimu kwa jina la Yesu, Ushuhuda wangu unakuja kama hivi. Tangia 2010 mambo yalikuwa mabaya sana katika nyumba yangu. Kulikuwa hakuna hata chembe ya amani, kwasababu hakuna kitu nilichofanya kumuomba radhi mke wangu. Muda mwingine alikuwa anafanya vitu vya ajabu ndani ya nyumba. Kwa  mfano mara zingine anabadilisha Chanel ya Emmanuel Tv au kuzima kabisa. Mara nyingine anazima taa zote ndani ya nyumba. Alibadirika kutoka katika hali ya kufanya maombi na kuwa mtu asiyesoma Biblia hata kidogo na kutosali kabisa. Nilivyokuwa nataka kuamka usiku kwaajili ya maombi , akiamka na kuniona naomba alikuwa anachukia sana. Nilivyokuwa namuomba tuombe kwa pamoja, anasema ataomba akiwa kitandani bila ya kuamka.
Hii picha sio ya huyo mwenye ushuhuda, ila nimekuwekea umuone TB Joshua akiwa katika huduma yake kanisani kwake kabla hajabailisha muonekano wa kanisani. Hii picha ni ya kipindi cha nyuma sana

"Iliendelea hivyo mpaka watu wakaanza kunikimbia, hata wafanyabiashara wenzangu, familia na marafiki. Hii ilinifananya niwe muombaji wa kifedha. Baada ya kuangalia Emmanuel TV na kusikiliza miujiza ya watu, nikaanza kutambua kuwa kuna chembe ya kiroho katika matatizo yangu. Nikakopa pesa Bank ya Afrika Kusini kuja Nigeria na kufika The SCOAN tarehe 4th June 2012.

"Nikiwa The SCOAN nilibahatika kuonana na Nabii TB Joshua, ambaye alinyoosha mkono wake na kuniuliza swali rahisi "Habari yako?" Nikamjibu kwa imani kwa kusema salama, hata kama nilikuwa na tatizo kuishi na kifo! Nilibahatika kupata Mafuta ya Baraka na kurudi Afrika Kusini. Nikamwambia mke wangu tufunge kwa siku tatu, kilichonishangaza alikubali. Baada ya kumaliza mfungo wa siku tatu, nikamiminia mafuta yeye, mimi na watoto wangu. Baada ya hapo mke akawa ameanza kuipenda Emmanuel TV. Nilijua MUngu yuko kazini!

"Kwahiyo, Jumapili ya 15th Julai 2012, kama Wise Men walivyokuwa wakiongoza katika ibada ya maombi, nilikuwa natafakari Neno lamUngu katika moyo wangu. Ghafla mke wangu alisimama na akaanza kuomba. Nilishangazwa sana, sijawahi kumuona akifanya maombi na Emmanuel TV. Kitu kingine nilichosikia kutoka kwake ilikuwa ni "Moto!, Moto!, Moto!" na baadae akaanza kutapika!

"Alikuwa anaunguruma kama simba, huku akitaka kupambana. Kabla ya kujua hilo, akaanza kufanya uharibifu. Ilionekana kama roho yake ilikuwa inapambana na mtu fulani ambaye hamuoni. Nikaamua kuwatoa watoto na kuwaweka mahali salama, gorofani. Nikachuka Maji ya Baraka na nikaanza kuyapulizia kwake, huku nikikemea mapepo kama nilivyokuwa nawaona Watumishi wa Mungu wa Navbii TB Joshua katika Emmanuel TV. Mapepo yakaanza kuzungumza, na kusema maneno ya kushangza na ya ajabu. Baada ya kupambana kwa muda wa dakika ishirini, roho ya mapepo ikamtoka na akaanguka chini na kuanza kulia.
 "Ninavyokuandikia sasa, ni mke wa ukweli, nilimjua siku yangu ya kwanza! Amani imerudi katika nyumba yetu. Nimeona alama za kukombolewa katika biashara yangu na jamaa zangu. Nakushukuru Mungu kwa kutumia Emmanuel TV, Maji ya Upako na Nabii TB Joshua kumuokoa mke wangu, nyumba yangu na familia yangu yote"

Omiragua Cecil Onoriode – Afrika Kusini
Omba na Nabii TB Joshua


SHE WAS GROWLING LIKE A LION!!
As John 10:10 says, “The thief comes only steal, kill and destroy but I have come that you might have life and have it in abundance.” Prophet T.B. Joshua says, “Unclean spirits cause men to lose control and commit all shameful acts. However, one thing is clear – demons know that they must submit to the authority in the name of Jesus Christ.”
The following testimony from an Emmanuel TV really testifies to this truth. We believe your faith will be lifted up as you read, in Jesus’ name.
“Emmanuel! People of God, l greet you all in Jesus’ name. My testimony goes like this. Since 2010, things have been very bad in my house. There was no single atom of peace because there was nothing I did that could please my wife. Sometimes she used to do strange things in the house. For example, she would always change the channel from Emmanuel TV or turn it off totally. Sometimes, she would even turn off all the lights in the house. She changed from a prayerful person to not reading the Bible at all and never praying again. When I woke up to pray in the night, if she woke up, she would always be very angry with me. If I invited her to join me, she said that she would pray from the bed without getting up.
“It went to the extent that people began running away from me, including my business partners, family members and friends. Hatred was everywhere. This had turned me to a beggar financially. After watching Emmanuel TV and listening to many people’s testimonies and experiences, I began realizing that there must be a spiritual element to my problem. l had borrow money from a bank in South Africa to come to Nigeria and visit The SCOAN on the 4th of June, 2012.“During my time in The SCOAN, I had the opportunity to meet with Prophet TB Joshua who shook my hand and asked me a simple question, ‘How are you, sir?’ I responded by faith that I was fine, even when it was actually a case of life and death! I managed to get the Anointing Water and came back to South Africa. I asked my wife to fast with me for three day and to my surprise, she agreed! Immediately after we completed the fast, I administered the Anointing Water upon her, the kids and myself. Following that, I realized that my wife started taking more interest in Emmanuel TV. I knew God was at work!

“So, on Sunday 15th July 2012, as the Wise Men were leading the congregation in mass prayers, I was meditating on the Words of God in my heart. All of a sudden my wife stood up and started praying. I was surprised as I had never actually seen her engage in the prayer on Emmanuel TV like that! At that moment, Wise Man John Chi said that enough is enough and that we should pray with aggression. My wife increased her pace and stretched out her hand to touch the screen of Emmanuel TV. The next thing I heard from her was, “Fire! Fire! Fire!” Then, suddenly she became very violent!

“She was growling like a lion with her fists folded, ready to fight. Before I knew it, she started destroying household appliances around her. It appeared that the spirits in her were fighting with someone that I couldn’t see. I decided to keep the kids safe and took them upstairs. I grabbed my Anointing Water and started ministering it to her, rebuking the evil spirit like I had seen the Wise Men and the Prophet do on Emmanuel TV. The evil spirit began speaking out, saying many strange things. After battling for about twenty minutes, the spirit left her and she collapsed on the floor and started crying.
 
“As I am writing to you now, she is now the true wife l knew from day one! Peace has been restored to our house and already, I have seen the signs of breakthrough returning to my business ventures. Thank God for using Emmanuel TV, the Anointing Water and Prophet TB Joshua to deliver my wife, house and entire family!”
Omiragua Cecil Onoriode – South Africa
Pray along with Prophet T.B. Joshua!!

No comments:

Post a Comment