RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

Monday, June 24, 2013

NIKUSHUKURU MUNGU KWA KUMTUMIA NABII TB JOSHUA

Nimshukuru Mungu kwa siku ya leo. Mungu ameweza kuniwezesha kuliona jua la siku ya Jumatatu. Ninatambua kuna wengi wamepoteza maisha yao siku ya leo, kuna wengine wamepata ajali usiku wa leo, kuna wengine wamepelekwa jela siku ya jana. Mungu wewe ni mwema sana katika maisha yangu. Ninapopitia magumu Mungu unaonekana, ninapolaaniwa na watumishi Mungu unanitetea, ninapoaachwa na marafiki Mungu unanitete, ninapodharaulika na ndugu zangu Mungu unanitetea, ninapolala njaa Mungu unitia nguvu. Munu ninakupenda sana.


Ninakushukuru sana kwa mtumishi wa Mungu TB Joshua. amekuwa akinifariji sana kwa huduma yake ya kukutumikia wewe Mungu. Amekuwa akifanya kazi yako kwa kusaidia maisha ya watu yawe bora. Mungu unamtumia kusaidia jamii duniani kwa njia ya KIROHO na mambo ya KIJAMII. Tumeona TB Joshua akiwagawa misaada vijijini na mijini bial ya kuchagua dini wala kabila. Mungu zidi kumtumia ili azidi kusonga mbele.

Ninakushukuru pia hata kumuwezesha kufikisha miaka 50. Tunatambua kuna jamaa nan ndugu zake ambao hawajaweza kufikisha umri huo, ila Mungu unazidi kumlinda na kumpigania. Mungu nakuomba uzidi kulinda familia yake na huduma yake ili isonge mbele. Pigana na maadui zake wanaopinga huduma yake. Tunakemea kwa jina la Yesu. Wale wote wanaopinga huduma yake kwa njia ya mitandao, au vyombo vya habari ninawapinga kwa jina la Yesu Kristo.

Mungu angali Emmanuel TV ambayo imekuwa baraka sana duniani. Imekuwa ni TV yenye kuheshimiwa na kuaminiwa na walio wengi. Mungu zidi kuwabariki wale wote wanaofanya kazi katika TV hiyo. Wape moyo wa uvumilivu pale wanapopitia magumu. Uwaondoa na roho za kishetani za kukatisha tamaa.

Baba nimeomba na kushukuru. Amina.


Wenu katika Bwana

Rulea Sanga

+255 715 851523

1 comment:

  1. Prophet Tb joshua new Anointing water Amazing Testimony WOW Emmanuel TV prophet Tb joshua synagogue church of all nations scoan my Testimony to the world,Am grateful to whatsapp+2349029349180 or email evelyntbjoshuascoan@gmail.com i was helped by a wife of late man of God prophet Tb Joshua wife,she sent me the new Anointing Water and new anointing  stickers she directed me on how to pray with it,and i followed her instructions ,Behold today my family and i am healed from poverty sickness, diseases and cancer arthritis,kidney problem ,am also free from all Afflictions failure and limitations she wipe away my tears,we are living happily in my family,just whatsapp+2349029349180 now and get your new Anointing healing water ,for healing and breakthrough Emmanuel TV prophet Tb joshua synagogue church of all nations if you also need help in the following ways
    1) if you always have bad dreams.
    (2)You want to be promoted in your office.
    (3)You want women/men to run after you.
    (4)If you want a child.
    (5)[You want to be rich.
    (6)You want to tie your husband/wife to be yours forever.
    (7)If you need financial assistance.
    (8)Herbal care
    9)Help bringing people out of prison
    (10)Marriage Spells
    (11)Miracle Spells,,,,,,,,just
    whatsapp+2349029349180 or email evelyntbjoshuascoan@gmail.com

    ReplyDelete