RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

Sunday, June 23, 2013

HONGERA NABII TB JOSHUA KWA HUDUMA YAKO

TB Joshua amekuwa msaada mkubwa sana duniani. Mungu anamtumia kwa njia ya ajabu sana. Tunaona wagonjwa mbalimali wakiponywa, wenye shida za kifamilia wakitatuliwa shida zao, wenye uhitaji wa pesa wanabarikiwa sana.

Mungu anazidi kumtumia sana Nabii TB Joshua. Huduma yake imekuwa na mguso wa wa kipekee sana. Mungu azidi kumtumia sana Nabii TB Joshua kwazi anafanya kwa watu wake.

Watanzania tunakpenda sana TB Joshua, watu wanakuhitaji sana nchini kwetu. Watanzania tunakuomba siku moja ukanyage katika ardhi hii iliyobarikiwa sana na Mungu.

MUNGU AKUBARIKI SANA TB JOSHUA

Rulea Sanga

No comments:

Post a Comment