RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

Saturday, May 12, 2012


TB JOSHUA AMPONYA MTU ALIYEKUWA ANAKULA MAVI, AKICHANGANGANYA  MIKOJO NA MBEGU ZA KIUME
 TB Joshua

Blogger wenu Rulea Sanga nilishuhudia maajabu haya nilipokuwa Nigeria kanisani kwa TB Joshua. Kwa akili ya kawaida ni vigumu kuamini lakini ndiyo mambo yanayotokea duniani. Watu wanatafuta pesa na umaarufu kwa njia ambazo zinamkasirisha Mungu na baada ya hapo wanabaki kuabika.

Blogger wenu (Rulea Sanga) nikiwa ndani ya SCOAN Synagogue ya Nabii TB Joshua-Nigeria nikishuhudia muujiza huo.
Shetani anaweza kukudanya kwa kukulewesha na starehe za duniani na baada ya kulewa anakuacha uaibike na kukucheka kwa ujinga wako. Mara nyingi shetamni amekuwa akiteka akili za vijana sana kwa kuwadanganya na starehe za duniani na kukosa hata muda wa kusoma Neno la Mungu na kujiona wao wako sawa. Muda mwingi wanatumia kufanya mambo yasio na faida kwao. Utakuta kijana muda mwingi yupo katika TV na kupoteza muda wa kufanya kazi, kuangalia mambo ya ajabu katika mitamndao, kudharau kazi zinazofanywa na watumishi wa Mungu

Naomba nisikuchoshe kwa uinjilisti wangu, ila naomba uangalie shetani anavyofanya kazi ya kuharibu watoto wa Mungu.


MUNGU NA ATUSAIDIE!

No comments:

Post a Comment