RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

Tuesday, May 8, 2012



EMMANUEL MABISA AELEZEA ALICHOKIPATA KWA MTUMISHI TB JOSHUA NIGERIA -LAGOS.

Emmanuel Mabisa akitoka Nigeria kuelekea Tanzania ndani ya ndege ya Ethiopia Airway

Blogger wenu Rulea Sanga nilibahatika kutembelea blog ya mtumishi wa Mungu anayemtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji na upigaji vyombo katika kundi linaloitwa Glorious Celebration, blogu yake inaenda kwa jina la www.mabisatz.blogspot.com na kuona kile alichokiandika kuhusiana na safari yake ya Nigeria aliyeongozana na Rulea Sanga, naye aliandika hiki:

"BARAKA ZA BWANA ZILIMIMINIKA SANA HUKO NIGERIA KWA MTUMISHI WA MUNGU TB JOSHUA...NIMEJIFUNZA MAMBO MENGI SANA KATIKA UTUMISHI!!!!!!"

Blogger wenu, ninampango wa kumtafuta Emmanuel Mabisa ili aweze kufunguka zaidi na kutufafanulia kwa kirefu kwa yale aliyojifunza na kuyapata. Endelea kufuatilia blog yangu na ukipendezewa tembelea blogu ya mtumishi huyu:

No comments:

Post a Comment