TB JOSHUA ALIVYOTABIRI AJALI YA KENYA
Jumatatu ya tarehe 4, June 2012, Nabii
T.B Joshua alitabiri kuhusu kiongozi wa nchi. Aliona ajali na kusema
kwenye ibada hiyo kama ifuatavyo:
“Ninety percent of what we’re doing here is all about other
nations all over the world. Like today, around 3am and what happened. I
saw the leader of a country. Whether he is the Vice President of a
country or the present— I saw all of them having an accident. Is it on
the air or on the ground? Sometimes, when I want to know what is
happening, how does it happen, what is this, I keep asking.“
Baada ya siku sita, Jumapili ya tarehe 10. Helicopter ya Kenya
ikapata ajali na kuuwa waziri George Saitoti na wote waliokuwa ndani ya
ndege hiyo.
No comments:
Post a Comment