MWALIKO WA RULEA SANGA KWA NABII TB JOSHUA APRILI 2012. MUNGU NI MWEMA: TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA APRIL 2012
Tuliakwa
na Nabii TB Joshua baada ya kuvutia na blog hii unayoaiangalia na
kuvutiwa na kikundi cha Glorious Celebration alichokiona kwa kupitia
blogu ya rumaafrica
SAFARI ILIKUWAJE?
Tunamshukuru Mungu kwa kutulinda na kutufikisha salama jiji Lagos Nigeria kwa Nabii TB Joshua.
Safari
yetu ilianzia jijini Dar es Salaam mida ya saa 8:00pm usiku kuelekea
Ethiopia Adis Ababa, tulifika Ethiopia mnamo saa 7:00 mchana na baada ya
hapo tukakaa airport kwa muda wa masaa matatu tukisubiria ndege ya
kwenda Nigeria-Lagos. Muda ulipofika tuliingia katika ndege kuelekea
Nigeria. Tulipofika katikati ya Nigeria na Ethiopia, rubani wa ndege
akatangaza kuwa katika ndege kunatatizo la oil (oil reckage) na
tukaambia na wahudumu kuwa kila mtu afunge mikanda vizuri.
Baada
ya kupewa hizo habari watu walianza kuwa na wasiwasi sana na wengine
wakaanza maombi. Ndege ikaanza kuyumba huku inashuka taratibu na kuyumba
sana. Rubani alifanikiwa kuigeuza ile ndege na kuelekea Ethiopia, Hali
ilikuwa ngumu sana na ikasababisha watu kulia na wengine kukazana na
kuomba. Mungu akatusaidia na kufanikiwa kufika Ethiopia Airport ambapo
watu walilazimika kushuka na kuunganishiwa ndege nyingine.
Mungu
alionekana "live" akiwatetea watumishi wake ambao walikuwa wakielekea
kwa Nabii TB Joshua wakitokea Tanzania. Kwa akili ya kawaida ni ngumu
sana kuamini kilichotokea katika safari hiyo. Mungu aliokoa roho za
watu takribani 400 ambao wangepoteza uhai wao au kuumia kama ajali
ingetokea.
Muda
mchache tuliunganishiwa ndege nyingine kuelekea Nigeria ambayo
ilitufikisha salama na baada ya kufika airport tulipokelewa na wenyeji
na kuelekea katika mabasi yaliyokuwa yanatusubiri. Mabasi hayo
yalitupeleka mpaka kanisani kwa TB Joshua (SCOAN of Synagogue) ambalo
lipo mjini Lagos.
kanisani hapo. Na baada ya kumaliza zoezi hilo tulipelekwa sehemu ya chakula na mahalipa kulala.
Haya ndiyo mambo yaliyotokea kwetu toka tulikotoka Tanzania, Dar es Salaam kuelekea Nigeria-Lagos
UNASEMAJE KUHUSIANA NA TB JOSHUA?
Muache
Mungu aitwe Mungu. Tunamshukuru TB Joshua kwa kutupa upendeleo wa
kuonana naye uso kwa uso na kwa jinsi alivyojitolea kutulipia gharama
zote za kutusafirisha kutoka Tanzania mpaka Nigeria SCOAN Synagogue na
kutugharamia chakula na malazi kwa kipindi chote tulichokuwa Nigeria.
Mtumishi
wa Mungu anafanya kazi ya Mungu kwa Moyo wake wote na akili zake zote.
Ni mtumishi anayependa sana kusaidia watu wasiojiweza na wenye matattizo
mbalimbali. Hapendik kuona mtu unalegea katika kazi ya Bwana.
Nitazidi
kukuletea mafundisho tuliyoyapata kutoka kwa Nabii TB Joshua, ila kwa
sasa ningependa kuwaonyesha tu yale aliyotufanyia Watanzania.
Ewe mdau wa blogu yangu naomba uangalia jinsi alivyotuhudumia.
Safari mpya kulekea Nigera baada ya kurudishwa Ethiopia Adis Ababa kutokana na tatizo la ndege
Rulea-ndani ya ndege baada ya kurudishwa Adis Ababa
Ndege iliyokuwa na matatizo ya kuvujika kwa oil ikiwa Ethiopia Adis Ababa
Rulea-nikishuka baada ya kurudishwa Ethiopia kutoka na tatizo la ndege kuvuja oil angani
Emmanuel Mabisa akielekea katika basi la abiria katika aiport ya Adis Ababa- Ethiopia
Rulea-Katikati nikiwa ndani ya basi la abiria-Ethiopia
Emmanuel Mabisa akielekea lkatika basi la abiria Ethiopia Airport
Nikiwa katika Aiport ya Adis Ababa nikisubiroia ndege nyingine ya kunisafirisha kuelekea Nigeria-Lagos
Nikiwa Airpot, choka mbaya
Nikiwa katika korido la ndege ya Ethiopia, tayari kwa safari ya Nigeria
SAFARI YA NDEGE
KUTOKA DAR - ETHIOPIA ADISS ABABA
Chakula katika ndege ya ETHIOPIA
TUKIWA NIGERA SCOAN
SCOAN Synagogue-Nigeria Lagos upande wa mbele
Watanzania wakiwa sehemu ya mapokezi inayoitwa "Prayer Line" mara baada ya kufika Nigeria, siku ya kwanza
TUKIELEKEA KANISANI KATIKATI YA WIKI
Hii ndio Synagogue
Emmanuel Mabisa wa pili kutoka kulia akionyesjha SCOAN Synagogue
Mabisa akiwa katika Prayer Line
Eneo la maombezi linaitwa Prayer Line. Pia ni sehemu kwa wageni wanaotembelea SCOAN
Mabisa akiingia ndani ya SCOAN Synagogue kwa mara ya kwanza
Rulea nikiingia ndani ya Synagogue kwa mara ya kwanza
Ndani ya Synamgogue karibu na madhabau
Hii ninayoonyesha ni A/C ya kanisa ambayo iko karibu sana na madhabau
Nikiwa jukabisa ambakp watu wengine hukaa katika ibada
Hawa waliokaa ni wengine kutoka nchi mbalimbali, Rulea Sanga nikiwa nipiga koti jeusi upande wa kushoto kati ya hawa waliosimama
SIKU YA IBADA-JUMATATU
Nikiwa na Mtanzania mwenzangu kutoka Moshi-Tanzania
Hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa wakati wa mkesha
Tukimsifu Mungu
PICHA ZA KUOMBEWA KUTOKA KWA WATANZANIA
Picha za watu wenye uhitaji kutoka kwa Grac Wangwe na Neema
TUKIWA IBADANI
SIKU YA MATEMBEZI
Sehemu ambayo wanatengeneza mikate kwaajili ya wafanyakazi na wageni na wenyeji pia
Sehemu ya fundi seremala
Tukielekea sehemu ya wanyama anaowafuga TB Joshua
Dada kutoka South Africa (kushoto) akiwa na dada kutoka Ethiopia
Sehemu ya mifugo
Rulea Sanga akipata maji yenye upako ambayo hugawia getini bure
Emmanuel Mabisa (kushoto) akiwa na Frank kutoka Dar es Salaam pamoja na mtoto wa cordinator wetu Martha wa Masaki Dar
Ujumbe wenye kukutia moyo na kukuweka karibu na Mungu
Rulea Sanga akiwa ndani ya Synagogue floor ya juu
Wageni wakiwasikiliza watengenezaji wa mikate, jinsi gani wanatengeneza
Baadhi ya mashine
Sehemu ya kuhifandhia mikate
Timu
ya mpira wa miguu ya TB Joshua, inasemekana baadhi ya yao ni watu
wanaotoka katika familia duni na wageni ni yatima, na wanalelewa na TB
Joshua
Walinzi wa SCOAN Synagogue
Ngamia zinazofugwa na TB Joshua
Gari za kubeba wageni za kanisani zikiwa zimepigwa stickers zenye upako
Plate Number yenye jina la SCOAN
Frank (kulia) Mtanzania aliyefika SCOAN
Tukielekea Kanisani
SEHEMU YA KULALA
Blogger Rulea Sanga akitafakari baada ya kukosa net ili imsaidie kurushe matukio ya Nigeria
Mabisa akiwa amejipumzisha
Mabisa akijiandaa kwenda ibadani siku ya jumapili
Rulea Sanga wa pili kutoka kushoto, nikiwa tayari kwenda Ibadani siku ya Jumapili
Makaranga akivishwa tai siku ya jumapili
SEHEMU YA NJE YA DINNING
Mabisa akiwa katika pozi baada ya kupata chakula cha mchana
Rulea Sanga nikiwa nje kidogo ya bweni, na haya ni magari ya Nabii TB Joshua
SEHEMU YA KULIA CHAKULA "DINNING"
Tukiwa Dinning Hall
SAFARI KUELEKEA TANZANIA ILIANZIA HAPA
Rulea Sanga (kulia) na Omega Assey
Tukipelekwa Airport ya Nigeria
Mbele ni Airport ya Nigeria
Kanisa la Kilutheri
TUKIWA NIGERIA LAGOS KUELEKEA ETHIOPIA
Jane P Mkony akiwa katika korido la kuingia katika ndege
akiwa bado koridoni
Jane P Mkony
Frida Gugu
Rulea Sanga
Emmanuel Mabisa
Rulea Sanga
Lisabela Ifiga
Isabela Lifiga
Naburudika
Tukimtafakari Mung
Emmanuel Mabisa akiwa ndani ya ndege ya Ethiopia akipiga msosi
TUKIWA ETHIOPIA KUELEKEA TANZANIA
My name is Mrs Oben Eveline Ayuk, i've laboured with heart failure and peptic ulcer for six years. I have visited many hospitals in both Texas and Georgia but could not really get any respite. I suffered from severe weakness and had difficulty eating food and drinking water. I virtually lived on medication all through those six years. The doctors advised me against eating starchy foods. They also told me to avoid foods high in cholesterol. In an effort to normalise my lifestyle as much as possible, they offered me an option of temporary relief at a very high price. They said that I would have to provide a whopping 4 million francs to have a special instrument known as a battery inserted into my heart as a palliative measure.
ReplyDeleteThinking that was the end of my life here on earth, along the way, a woman called Mrs Florence Oseremen introduced me to Emmanuel TV and also sent me the Morning Water which i started ministering to myself in faith, I continued to minister it amidst prayers. Gradually, all those debilitating symptoms started giving way to renewed vigour and better well-being. I became strong once again and could do all those things she could not do before now. I now eats good food and drinks water, irrespective of the quantity. To confirm God’s marvellous work in my life, I returned to the hospital and did some tests. When the results were released, they showed that both the heart problem and peptic ulcer were no more. “For all Christians who centre their lives on Jesus Christ, better is not good enough; the best is yet to come.”
The God of prophet TB Joshua is a wonder working God, if you are outside Nigeria and you need morning water, contact Sister florence Oseremen. ( florenceoseremen@gmail.com ) and expect your breakthrough also. Thanks
Let God be God, He is our healer, our provider, our deliverer, our savior our everything. Thank you Jesus for using your servant Prophet TB Joshua to do these works, Being one of those privileged to enjoy the presence of the Holy Spirit at SCOAN, I say thank you Jesus, no turning back.
ReplyDelete