RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV LIVE

PROPHET TB JOSHUA INVITED RULEA SANGA FROM TANZANIA TO SEE HIM -SCOAN NIGERIAL APRIL 2012

T.B. JOSHUA EMPOWERS SCOAN LONDON 1ST SEPTEMBER 2013 SERVICE!

Thursday, June 14, 2012

MCHUNGAJI CHRISS AELEZEA ALIVYOKUTANA MARA YA KWANZA USO KWA USO NA TB JOSHUA

Pastor Chriss oyakhilome

Pastor Chriss oyakhilome ni raia wa Nigeria na mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Christ Embasy.Hapa anaelezea namna alivyokutana na Prophet TB Joshua kwa mara ya kwanza.

“Nilikutana na TB Joshua kwa mara ya kwanza mwaka 2001 baada ya TB.Joshua Kunipigia simu, yeye pamoja na baadhi ya wageni wake walikuwa wakiangalia moja ya Program zangu za Television na katika programu hiyo kulikuwa na episode moja ambayo nilikuwa ninamuombea binti ambaye tangu amezaliwa alikuwa kipofu na alipokea uponyaji,TB Joshua alinambia aliguswa na muujiza huo hivyo akaamua kunipigia, na hiyo ilikuwa mara yetu ya kwanza mimi na yeye kuwasiliana”.

Baada ya hapo tuliendelea kuongea mara nyingi kwa njia ya simu,hadi kufikia kipindi hicho kupitia Television nilikuwa nimeshaangalia program zake(TB) mbili au tatu.Sikuwa najua mengi kuhusu yeye na aliponipigia tulikuwa tukibadilishana mawazo kwa kile tulichokuwa tukikifanya.Wiki kadhaa baada ya kuwa tukiongea kwenye simu, alinipigia simu na akaniomba niungane naye atakapokuwa akimfanyia maombi mgonjwa mmoja aliyeletwa kutoka nchini Holland.

Aliponiambia nilimwambia kuwa siku hiyo kanisani kwangu tutakuwa na ibada,TB Joshua aliniambia Ibada yao itakuwa ni ya usiku mzima na mimi nilikuwa namaliza ibada saa 3:00 usiku hivyo nilimkubalia.Nilimuuliza ni muda gani itanichukua hadi kufika hapo alipo akasema ni kama dakika 30, nikasema sawa kwa kuwa nikimaliza ibada hapa saa 3:00 usiku ntafika hapo ulipo saa 3:30 usiku hivyo nitajitahidi niwepo.

Pastor Chriss aliendelea kusema,nilienda kanisani kwa TB Joshua nikiwa na watu kadhaa na hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana na TB Joshua uso kwa uso.Tuliingia kanisani nikalisalimia kanisa, na wengi wao walikuwa tayari wameshaniona kwenye Television na walifurahi kuniona.Kifupi baada ya kuwasalimia tulienda moja kwa moja kwenye section ya maombezi.

Alianza kwanza kuwafanyia huduma watu mbalimbali wakati mimi nikiwa nasubiri kwa kuwa nilienda pale kwa ajili ya kushirikiana naye kufanya maombezi kwa kwa raia kutoka nchi ya Holland kama alivyoniomba kwa njia ya simu.Kwa pamoja tulimuombea mtu yule aliyekuwa na magonjwa mbalimbali (multiple sclerosis) jina lake alikuwa akiitwa Jan Westrhorf.

Monday, June 11, 2012



TB JOSHUA ALIVYOTABIRI AJALI YA KENYA


Jumatatu ya tarehe 4, June 2012, Nabii T.B Joshua alitabiri kuhusu kiongozi wa nchi. Aliona ajali na kusema kwenye ibada hiyo kama ifuatavyo:

Ninety percent of what we’re doing here is all about other nations all over the world. Like today, around 3am and what happened. I saw the leader of a country. Whether he is the Vice President of a country or the present— I saw all of them having an accident. Is it on the air or on the ground? Sometimes, when I want to know what is happening, how does it happen, what is this, I keep asking.

Baada ya siku sita, Jumapili ya tarehe 10. Helicopter ya Kenya ikapata ajali na kuuwa waziri George Saitoti na wote waliokuwa ndani ya ndege hiyo.

 SOURCE:http://strictlygospel.wordpress.com/2012/06/11/nukuu-ya-tb-joshua-kuhusiana-na-ajali-ya-kenya/

Sunday, June 10, 2012

RULEA SANGA APONYWA SHINGO BAADA YA KUTUMIA “ANOITING WATER”  YA 
NABII TB JOSHUA SIKU YA JUMAMOSI


Rulea Sanga
Usiku wa jumamosi nilikuwa naumwa sana na shingoni wakati wa kumeza chakula au kinywaji,  hali hii  ilinisababishia kupata malaria, ilikuwa hali mbaya sana. Nilikuwa nashindwa kumeza chakula au kinywaji chochote kutokana na maumivu makali shingoni. Muda ulivyokuwa unaenda ndivyo maumivu yalikuwa yanazidi. Hali hii ilinikosesha rah asana, sikupenda hata kuongea kwa mwili wangu ulidhoofika sana.

Nabii TB Joshua
Rosemary aliponipigia simu, alishangazwa sana na maongezi yangu kuwa si ya kawaida kutoka na kushindwa kuongea vizuri, na aliponiuliza nilimjibu kuwa naumwa sana. Alinifariji sana na kuniambia nisitumie tena maji ya moto na nimeze panadol kwaajili ya kuondoa maumivu. Nilimshukuru sana kwa kunitia moyo na kunisaidia kimawazo, lakini nilimwambia sina panadol na ni usiku siweze kupata duka la dawa, bali nilichomwambia ni kwamba usiku wa leo ninaenda kupona kwa jina la Yesu Kristo.

Niliondoka na kuelekea chumbani kwangu na kuchukua yale maji ya upako ya TB Joshua na kuyanywa. Niliamini kwa kupitia maji haya naenda kupona. Muda ulipofika wa kwenda kulala nikahisi maumivu kama yanapungua. Asubuhi nilipoamka maumivu yote yalitoweka na nikawa na uwezo wa kunywa na kula. Nikamtuma kijana wangu Alex kwenda kununua mihogo ili nione kama naweza kumeza huku nikishushia na Coca Cola ya baridi…..Mihogo ilipita bila kikwazo chochote.

Ninamshukuru sana Mungu wangu kwa uponyaji, na ninamshukuru sana Nabii TB Joshua kwa kupitia “Anoiting Water”

Kumbuka mwezi April niliitwa na Nabii TB Joshua na kunikabidhi maji haya ya upako

Bonyeza hapa kuona nilivyokuwa SCOAN Nigeria kwa Nabii TB Joshua:
http://rumaafrica.blogspot.com/p/tb-joshua-invited-rulea-sanga-and.html

Mungu ni mwema kwangu daima.

Wenu

Rulea Sanga

Thursday, June 7, 2012

JESUS WILL NOT ALLOW THE ENEMY OF YOUR SOUL TO OVERTAKE YOU
June 6, 2012 by thetbjoshuafanclub
YOU NEED TO EXPERIENCE GOD

The service on Sunday, June 3, 2012 began with Wise Man John Chi speaking on the need to experience God. “Most people would believe that it is a great tragedy to be separated from their possessions and social relations,” he began. “However, very few people understand that the greatest tragedy in the world today is to be separated from God. Satisfaction in life is not all about having children, money or other worldly possessions – you need to experience God. Until you experience God, there will be dissatisfaction in your life – a sense of hunger to know what life is all about, a desire to know what happens after life is over,” he said in his introduction.

Continuing, he stated that many Christians only choose certain areas of Scripture to focus on, stressing that we need the whole counsel of God to develop spiritually. “Those people who choose to pick out a few words from the Bible and live by them are not eager about such other areas as holiness, consecration, judgement, evangelism and the love of God,” he added.

Talking on the futility of merely pursuing worldly fame and possessions, he explained, “Treasures on earth have their habit of disappointing their owners as they don’t offer permanent security. Only treasures stored up in Heaven are permanent and secure. They retain their value because they are under God’s own security.” He used James 1:10-11 for further illustration.

Concluding, Wise Man John Chi referred the congregation and viewers worldwide on Emmanuel TV to Psalm 55:22 and 1 Peter 5:7 – Scriptures that enjoin us to ‘cast our burden upon the Lord’. He said, “The best remedy against anxiety is to cast our burden upon God believing His divine will to calm our spirit. To cast our burden upon God is to rest our trust in His providence and promise. If we commit our ways and works to Him, He promised to carry us in the arms of His power, as a nurse carries a child and will strengthen our spirit by His Spirit. Why don’t we trust Him and let Him prove Himself? After all, He is the Governor of our future. I mean, He owns our future.”



HAPPY BIRTHDAY AT 49!

Following Wise Man John Chi’s message, a glorious time in God’s presence in praise and worship ensued, before Prophet T.B. Joshua came out. “If you rely on the strength that comes from our Lord, Jesus Christ, He will not allow the enemy of your soul to overtake you,” he said, encouraging the congregation.

Using the opportunity to address his upcoming 49th birthday on June 12th, Prophet T.B. Joshua thanked the people for their prayers. Explaining the way and manner God wanted him to celebrate this year, he stated, “My birthday shall be dedicated to prayer for the Church of God, for its unity. It is also an occasion that calls for persistent giving, especially to the needy,” he continued, stressing that people should give every good thing the Lord had given to them.

EVERYONE NEEDS DELIVERANCE

A video was replayed in which Mr Gideon Ibitoye was remarkably delivered after prayer from Wise Man Christopher during last week’s Monday Service. The evil spirit had spoken through him, saying that it was a warrior who had come to cause suffering and poverty in the family.

Addressing the importance of deliverance, Prophet T.B. Joshua said that it was necessary for everyone to pass through deliverance. Referring the congregation to 1 Corinthians 10:13, he explained that even after deliverance, a Christian would still face challenges and trials but that they would lead to his improvement. “When you are delivered, strength will come from above so that the enemy of your soul will not overtake you,” he said.

In his explanation, Mr Ibitoye narrated that he is a youth pastor in his church and never had any inclination that he would be the one to be delivered when they came to The SCOAN. On the contrary, he believed his wife was the one responsible for the problems and expected her to be the one to manifest when the Wise Men prayed. This belief came as a result of a number of pastors who had pointed out that his wife was the architect of their downfall, telling him to beg her for forgiveness and adorn her with gifts of clothes so she would release him from the cage he was in.

Confused, his wife explained that she too ended up suspecting that she might be possessed, after all the pastors had pointed her out to her husband. Mr Ibitoye explained that during the Sunday Service, his entire focus was on his wife during the Wise Men’s prayer, expecting her to react and manifest. Disappointed after nothing seemingly happened, he resolved to return home. His wife, however, insisted that they return for the Monday Service. During the Monday Service, Mr Ibitoye said, after listening to a message from Prophet T.B. Joshua, he began to ask God for a touch from Heaven. As Wise Man Christopher prayed for him during that service, he explained that he just saw light and became very afraid, losing all consciousness and control. “I am not the type of person who believes in that type of thing,” he confessed, adding that he was astonished at the deliverance he received.

Members of the congregation spoke out on the lessons learned from the couples experience and Prophet T.B. Joshua commended Mrs. Ibitoye for standing by her husband despite the accusation and insisting on his return to the church on Monday.

DELIVERED FROM THE SPIRIT OF PROSTITUTION

Miss Pauline, a 5th year Student of Political Science and Public Administration at the University of Benin returned to The SCOAN with three friends following her confession in the church last week. After her deliverance from the spirit that had pushed her into prostitution, Prophet T.B. Joshua called on her to bring some of her colleagues who were also involved in the same lifestyle and desired deliverance.

Her three friends, all schooling in university, somberly told The SCOAN congregation that they were involved in prostitution and this was how they paid their tuition. Prophet T.B. Joshua promised that the church would assist them financially with scholarships to carry on their education without continuing their past lifestyle. The young friends were moved to tears at the announcement, Pauline thanking God on their behalf for rescuing them and providing for their needs.

HEALED FROM PROSTATE CANCER

In his faith building testimony, Mr Alex Okodua said he visited The SCOAN in October 2011 suffering from prostate cancer. At that stage, his condition was critical as he had lost a lot of weight, saw blood in his urine and experienced swelling in his groin. He explained that at this stage he would be going to the toilet 5-6 times in a night alone. The medical doctors advised him to go to India for an operation and even then, the chances of recovery were 50-50.

However, in the midst of his deteriorating condition, one of Mr Okodua’s sons advised him to visit The SCOAN and use the Anointing Water. After receiving and ministering it, he explained that he immediately began sleeping well. Soon, the blood-filled urine had normalized and he was regaining weight again. Amazed at the miraculous work of God in his life, Mr Okodua returned to the hospital for another check. Marveling at the miracle, the doctors confirmed he was free from prostate cancer. To God be the glory!

As Mr Okodua testified, Professor Robinson, the Chief Medical Director of Nnamdi Azikwe University, Awka, attested to what he was saying. He explained that, as a medical doctor, he had referred many of his patients to The SCOAN for healing and had even ministered the Anointing Water in the hospital. He cited the case of a woman whose arm was to be amputated because of a large open wound that had refused to heal. However, after ministering the Anointing Water, the wound closed up and the woman was completely restored.

BARRENNESS OVER AND BREAKTHROUGH RESTORED

Engr. Ugwu and his wife came to The SCOAN with many testimonies to share to God’s glory! Firstly, he explained that he had initially come to The SCOAN with the problem of bedwetting for a long and painful 34 years. At this stage, he and his wife were childless and he was also experiencing setback and disappointment in his business. However, after coming to The SCOAN and ministering the Anointing Water, the Ugwu’s lives were completely transformed!

His bedwetting ceased and shortly afterwards his wife became pregnant, later safely delivering a baby girl named Mary. Employed in a petroleum company, abundant blessing started coming for Engr. Ugwu and he was able to buy a new car and move into a new house. To cap it all, his wife is now pregnant for a second time!

Following the testimonies, Prophet T.B. Joshua led the congregation in a powerful time of mass prayer. “Your appointment with God is Divine. During Jesus’ earthly ministry, everyone was healed. God has sent me to you to give you something,” he told the excited congregation. He then moved in the midst of the congregation, giving words of prophecy to hundreds of individuals present.
We thank God Almighty for what He is doing every week in The SCOAN. Indeed, a million thanks are not enough for what Jesus Christ has done!

CLICK HERE FOR MORE DETAILS: http://thetbjoshuafanclub.wordpress.com/
TUNAMSHUKURU NABII TB JOSHUA KWA UPENDO ALIOTUFANYIA WATANZANIA HUKO NIGERIA-SCOAN.

MBALI NA CHAKULA CHA  KIROHO TULIPATA NA CHAKULA CHA KIMWILI KAMA UNAVYOONA KATIKA PICHA HAPO CHINI:

Blogger, Graphic Designer, Rulea Sanga
Musician wa Glorious Celebration, Emmanuel Mabisa
 Rulea Sanga
 Jamani Mungu mwema, full kushiba
 Duh nitamaliza kweli, nakushukuru Mungu
 Tumeshia, tunakushukuru Mungu

 Makaranga kulia akifurahia chakula kitamu alichokipata
 Rulea Sanga kulia na mchungaji Charles
 Rulea Sanga (kushoto) akipiga picha baada ya breakifast siku ya jumapili
 Duh mimi siseme, utukufu kwa Mungu
 Dinning
 Makaranga
 Wakisubiria chakula
 Ahsante Nabii TB Joshua
 Mwana kula.....kwa raha zako, hiyo ndiyo faida ya kumtumikia Mungu
 Hahahahahah.....kitamu sana

 Mchungaji Charles akituhubiria kabla ya chakula


 Hii ilikuwa ni siku ya jumapili

POSTED BY Rulea Sanga from www.rumaafrica.blogspot.com

Saturday, June 2, 2012


MIUJIZA MIWILI ALIYOPATA MTANZANIA KWA  KUPITIA HUDUMA ZA NABII TB JOSHUA
EMMANUEL! Nina shuhuda mbili za kukuhusisa kwa utukufu wa Mungu. Kwanza, Nilivyokuwa na mimba na muda wa kujifungua ulikuwa umekaribia, niliomba na Nabii TB Josua kwa kupitia Emmanuel TV, Nilimuomba Mungu anisaidia nijifungue salama. Kwasababu ilikuwa ni mimba yangu ya kwanza, nilikuwa naogopa hatua zote nitakazopitia kujifungua. Kwa utukufu wa Mungu, siku chache baadae, nilijifungua salama! Ilikuwa majuma 38 ya mimba ya mimba yangu. Nilijua Mungu alihusika kwasababu maumivu hayakuwa makali sana. Ilikuwa saa 4 asubuhi ambapo kazi za maabara zinaanza kufanya kazi nilichukuliwa hospitalini haraka. Daktari alinicukua katika chumba cha maabara ndani ya dakika 30 nilijifungua mtoto mzuri wa kike anayeitwa Malaika. Masaa machace bbadae, niliruhusiwa ospitalini kwasababu nilikuwa naendelea vizuri sana. Asante Wewe Yesu

Pili, mama yangu alikuwa na ugonjwa sinus infection ambapo alifanyiwa operation Tanzania katika pua yake. Kwasababu tatizo lake lilikuwa linaendelea, daktari alisema anatakiwa kufanyiwa operation nyingine. Tulipangwa kwenda India kwaajili ya operation. Kabla ya kuondoka rafiki na shangazi yangu alikuja kumuangalia mama yangu na tuliomba kwa pamoja. Na tulinyunyizia Maji ya Upako katika pua ya mama yangu.

Siku iliyofuata tulipofika india walitakiwa kutufanyia scan ya CT kwa mama yangu. Daktari aliposoma scan, alionekana kushangazwa. Akasema huyu mama haonekani kuumwa na chochote! Tulifikiri labda amekosea na tukaenda hospitali nyingine ambapo daktari aliangalia lile tatizo la sinus katika mashine ambapo wote tuliangalia katika screen kubwa kama ya TV. Niliona kwa maco yangu kuwa ugonjwa aukuwepo kabisa. Daktari wa India alisema labda kulikuwa na tatizo kutoka kwa daktari aliyefanya opertation Tanzania ambaye alikuwa ni profesa. Wakasema hakuna haja ya kufanyiwa operation. Utukufu kwa Mungu! Tunajua Mungu amemponya kwa kupitia Mafuta ya Upako

Elizabeth Karua, Tanzania

Translatedaenda hospitali nyingine ambapo daktari aliangalia lile tatizo la sinus katika mashine ambapo wote tuliangalia katika screen kubwa kama ya TV. Niliona kwa maco yangu kuwa ugonjwa aukuwepo kabisa. Daktari wa India alisema labda kulikuwa na tatizo kutoka kwa daktari aliyefanya opertation Tanzania ambaye alikuwa ni profesa. Wakasema hakuna haja ya kufanyiwa operation. Utukufu kwa Mungu! Tunajua Mungu amemponya kwa kupitia Mafuta ya Upako

Elizabeth Karua, Tanzania

Translated by Rulea Sanga-+255715851523
-----------------------------------------------------------
ANOTHER FAITH-FILLED TESTIMONY OF A TANZANIA LADY WHOSE MOTHER RECEIVED HER MIRACLE WITHOUT EVEN REALISING IT!

“Emmanuel! I have two testimonies to share to the glory of God. Firstly, when I was pregnant and the time of my delivery was due, I prayed with Prophet T.B. Joshua through Emmanuel TV, asking God to grant me a safe delivery. Because it was my first pregnancy, I was worried about the whole process. To the glory of God, just a few days later, I gave birth safely and soundly! It was exactly 38 weeks of my pregnancy. I knew God was involved because the pain was very minimal. It was 4am in the morning when the labour started and I was taken to the hospital instantly. The doctor took me to the labour room and within just 30 minutes, I gave birth to a beautiful girl called Malaika (a Swahili word meaning ‘Angel’)! Just a few hours later, I was discharged from the hospital because I was doing very well with the baby. Now my baby is three months old and she is doing very well. Thank You, Jesus!

“Secondly, my mother had a severe sinus infection which she was operated on in Tanzania in her nose. Because the problem was still persisting, the doctor recommended that another operation needed to be done. We arranged to go to India for the operation. Before we left, my aunt’s friend came to see my mother and we prayed together. She then sprayed the Anointing Water on my mother and in her nose.

“The following day when we arrived in India, they had to do another CT scan for my mother. When the doctor read the scan, he looked at us surprised. He said that this woman is not suffering any sinus infection and needs no operation! We thought that maybe they had made a mistake and we went to another hospital where the doctor observed my mother’s sinus in a machine which we can all see like a TV. I saw with my own eyes that the sinus was pure, clean and normal. The doctors in India said that maybe there was a mistake from the doctor who operated her in Tanzania who was a professor. They said that there is no need to operate her because she has no sinus infection. Until today, my mother is doing great and has had no problems in her sinus. Glory be to God! I know God healed her through the Anointing Water!”

Elizabeth Karua, Tanzania
ADVERTISEMENT

-----------------------------------------------------------
ANOTHER FAITH-FILLED TESTIMONY OF A TANZANIA LADY WHOSE MOTHER RECEIVED HER MIRACLE WITHOUT EVEN REALISING IT!

“Emmanuel! I have two testimonies to share to the glory of God. Firstly, when I was pregnant and the time of my delivery was due, I prayed with Prophet T.B. Joshua through Emmanuel TV, asking God to grant me a safe delivery. Because it was my first pregnancy, I was worried about the whole process. To the glory of God, just a few days later, I gave birth safely and soundly! It was exactly 38 weeks of my pregnancy. I knew God was involved because the pain was very minimal. It was 4am in the morning when the labour started and I was taken to the hospital instantly. The doctor took me to the labour room and within just 30 minutes, I gave birth to a beautiful girl called Malaika (a Swahili word meaning ‘Angel’)! Just a few hours later, I was discharged from the hospital because I was doing very well with the baby. Now my baby is three months old and she is doing very well. Thank You, Jesus!

“Secondly, my mother had a severe sinus infection which she was operated on in Tanzania in her nose. Because the problem was still persisting, the doctor recommended that another operation needed to be done. We arranged to go to India for the operation. Before we left, my aunt’s friend came to see my mother and we prayed together. She then sprayed the Anointing Water on my mother and in her nose.

“The following day when we arrived in India, they had to do another CT scan for my mother. When the doctor read the scan, he looked at us surprised. He said that this woman is not suffering any sinus infection and needs no operation! We thought that maybe they had made a mistake and we went to another hospital where the doctor observed my mother’s sinus in a machine which we can all see like a TV. I saw with my own eyes that the sinus was pure, clean and normal. The doctors in India said that maybe there was a mistake from the doctor who operated her in Tanzania who was a professor. They said that there is no need to operate her because she has no sinus infection. Until today, my mother is doing great and has had no problems in her sinus. Glory be to God! I know God healed her through the Anointing Water!”

Elizabeth Karua, Tanzania
ADVERTISEMENT

Source:www.rumaafrica.blogspot.com

WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASA NDANI YA SCOAN-TB JOHSUA


BAADA ya kuandamwa na ‘kashikashi’ za kisiasa kwa muda mrefu, Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa (CCM), ameonekana ‘laivu’ runingani akifuatilia kwa karibu ibada ya Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Kikristo ya Synagogue Church of All Nations (SCOAN), Mtume na Nabii Temitope Balogun Joshua ‘T.B Joshua’ huko Lagos, Nigeria.
Ishu hiyo ambayo imekuwa gumzo katika mitandao fulani fulani ilijiri hivi karibuni ambapo waziri mkuu huyo mstaafu alionekana kupitia Runinga ya Emmanuel TV.

Katika ibada hiyo iliyokuwa na ‘taito’ ya Sunday Live Service, ujumbe wa siku hiyo ulikuwa ni kushinda woga katika kujaribu kutenda jambo lolote.
T.B Joshua ni mmoja wa viongozi wenye heshima duniani aliyejipatia umaarufu kutokana na unabii anaoutoa kuhusu masuala mbalimbali, uponyaji kwa njia ya maombi na maombezi ya kawaida.



EDWARD LOWASA ATABIRIWA NA TB JOSHUA?


Pichani Lowasa akiwa kanisani kwa TB Joshua kama anavyoonekana kwenye Emmanuel TV, 12 June 2011
MBINU za Edward Lowassa kutaka kurejea kileleni katika ulingo wa kisiasa zimemnasa mbunge wa Kilindi (CCM), Beatrice Shelukindo, imefahamika.
Beatrice ambaye alikuwa akijitambulisha kuwa mmoja wa “wapambanaji dhidi ya ufisadi,” waliopachikwa jina la “Mitume kumi na miwili,” sasa anatajwa kuhamia rasmi mtandao wa Lowassa.
Gazeti hili limepata ushahidi wa maandishi ya mkono wa Beatrice mwenyewe yanayoonyesha kuwa amekuwa mfuasi muhimu wa Lowassa kiasi cha kushawishi wengine kujiunga katika mtandao wake.
Akiandika kwa Pindi Chana, mbunge wa Viti Maalum (CCM), tarehe 14 Februari mwaka huu, Beatrice alieleza mambo matatu katika ujumbe wake kwa Chana.
Kwanza, kumshukuru Chana kwa kukubali kulinda kura zake. Pili,  kumshawishi kumuunga mkono Lowassa. Tatu, kumweleza juu ya ulokole wake na “mtumishi aliyepakwa mafuta” kutoka Nigeria.
Beatrice anamwambia Chana kuwa Lowassa ndiye kampeni meneja wake. Hii ilikuwa katika uchaguzi wa makamishina wa Bunge; nafasi aliyogombea na kushinda.
“Mungu ni wa ajabu, (Lowassa) ameniombea kura pasipo maelezo. Ameandaa lunch na dinner (vyakula vya mchana na usiku) ambako amekuwa akiniombea kura. Ana njia za ajabu za kufanya mambo. Ahsante kwa kukubali kuhesabu kura,” inasema sehemu ya ujumbe huo.
Chana, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, ndiye alihesabu kura za Beatrice kwenye uchaguzi wa kutafuta makamishina wa Bunge.
Ni kwenye ujumbe huo ambamo Beatrice anatoboa kuwa siri ya ushindi wake ni Lowassa aliyekuwa kampeni meneja wake.
Katika kusisitiza hoja yake, Beatrice anasema, “Nimezungumza na TB Joshua wa Emmanuel TV Nigeria aliyenipa unabii kuwa rais ajaye Tanzania ni Edward Lowassa, nikamuambia haiwezekani kwani amechafuka sana.”
Anasema Joshua alimjibu, “…alikuwa amechafuka sasa amesafishwa kwani katubu. Akaniambia his past is over (maisha yake ya nyuma si kitu). Akaongeza kwa kusema, wewe Beatrice ningeangalia your past (maisha yako ya nyuma) pengine nisingekuombea kabisa. Akasema my past is over (hajali maisha yangu ya nyuma),” inasema sehemu ya ujumbe huo wa Beatrice.
Hata hivyo, Beatrice hakueleza katika waraka wake kwa Chana maisha yake ya nyuma yalikuwa vipi. Wala hajaeleza alifanya nini, hadi kuamini kuwa kama Nabii Emmanuel angeyatazama, basi asingemuombea.
Kuvuja kwa taarifa hizi kumekuja wiki tatu baada ya Lowassa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ulinzi, Usalama na Mambo ya Nje.
Mume wa Beatrice, William Shelukindo alikuwa mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo iliongoza harakati za kuundwa Kamati Teule ya Bunge iliyochunguza mkataba tata wa Richmond.
Ni taarifa ya kamati hiyo iliyosababisha Lowassa kujiuzulu wadhifa wake wa waziri mkuu, Februari 2008.
Kwa mujibu wa watu waliokaribu na Beatrice na kwa ushuhuda wake mwenyewe, mwanasiasa huyo ameamua kujisalimisha kwa Lowassa kwa kile kinachoelezwa kuwa “Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.”
Aidha, kupatikana kwa taarifa hizi kumekuja huku kukiwa na juhudi kubwa zinazofanywa na Lowassa na kundi lake kutaka kujisafisha kwa lengo la kujitosa katika kinyang’anyiro cha urais mwaka 2015.
Miongoni mwa mikakati aliyojiwekea Lowassa na kundi lake ni kujitokeza katika maeneo yote muhimu na kutoa kauli ambazo zitafanya wananchi waanze kumkubali kuwa ni kiongozi anayefaa.
Katika kutekeleza mkakati huo, Januari mwaka huu, Lowassa alijitokeza kuzungumzia vurugu zilizotokea mkoani Arusha zilizotokana na mvutano katika uchaguzi wa meya wa jiji hilo kati ya CCM na CHADEMA.
Katika mnyukano huo, watu watatu walipigwa risasi na polisi na kufariki dunia baada ya polisi kutumia nguvu isiyo ya kawaida kuzima maandamano ya CHADEMA.
Kauli hiyo ya Lowassa ilikuwa tofauti na msimamo wa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtaka kuwasilisha maoni yake katika vikao vya chama badala ya kutumia vyombo vya habari.
Kauli nyingine ya Lowassa ilihusu nyongeza ya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi, kutokana na kile alichoita mfumuko wa bei kuwa mkubwa.
Bali wiki moja iliyopita, Naibu Katibu Mkuu wa vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA), Nicholas Mganya alimtuhumu Lowassa kwa kutoa kauli hiyo akisema ana ajenda ya siri nyuma yake.
Mgaya alisema TUCTA haihitaji msaada wa Lowassa katika kusimamia madai yao. Alisema “mbunge huyo wa Monduli inaonekana ana ajenda yake mgongoni.”
Hatua nyingine ya Lowassa katika kujikarabati kisiasa ni kugombea na kupata nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama.
Lowassa amekuwa pia akihudhuria hafla nyingi, hasa za madhehebu ya Kikiristo (KKKT) ambao anaonekana akitoa maoni mbalimbali kama ilivyokuwa Jumapili iliyopita ukumbi wa Dimaond Jubilee kwenye uzinduzi wea albamu ya moja ya kwaya za injili.
Kwenye kusanyiko hilo, Beatrice naye alikuwepo. Lowassa alimtaka asome maoni ya gazeti la The Citizen juu ya ushirikina uliokithiri nchini; jambo ambalo Lowassa alizungumzia kwa urefu.
MwanaHALISI lilipowasiliana na Beatrice ili kupata maoni yake juu ya ushwahiba wake mpya na Lowassa, mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:
Mwandishi: Tusaidie maelezo kidogo juu ya ujumbe uliomwandikia Mheshimiwa Pindi Chana kumjulisha kuwa uliambiwa Edward Lowassa atakuwa rais. Ni kweli?
Beatrice: Barua ameandika nani na umeipata wapi?
Mwandishi: Hii barua fupi – memo ndani ya Bunge, uliposema Mheshimiwa Lowassa ambaye amesimamia vizuri kura zako za ukamishna wa Bunge.
Beatrice: Sina taarifa hiyo. Wala siikumbuki. Unajua ndani ya Bunge tunaandikiana mambo mengi, tena mengine ya utani tu. Na mimi na Mheshimiwa Chana sote ni “walokole,” tunafanyiana utani sana.
Mwandishi: Kwani mheshimiwa Shelukindo, mkiwa ndani ya bunge kuna utani mwingi, kwamba huwa mnaandikiana utani sana?
Beatrice: Kabisa, unajua tunaandika mambo mengi. Na kama unaandika kwa utani kwa mwenzako inabaki hivyo ni utani tu. Sasa tatizo hao wanaowaletea mambo haya wanatumia mambo haya kutafuta mipango yao ya kufikia mwaka 2015.
Alisema, “Mimi najua hakuna anayenibeba ndugu yangu. Mimi ni very solid (ngangari), sibebeki. Nakwambia, mbona mimi nina nguvu nyingi mimi mwenyewe; sihitaji kubebwa. Najua wanajaribu kuonyesha tunabebwa, lakini huo ni ujinga wao wa kufikiri.
Mwandishi: Mheshimiwa Shelukindo, kwani nyie waheshimiwa huwa mnatafutana (kufitiniana)?
Beatrice: Hiyo inafanyika sana, watu wakishakuwa na mambo yao wanatumia wengine kutimiza dhamira zao. Lakini mimi ninafikiria wananchi. Nimeshaamua kwamba Beatrice nashughulikia shida za wananchi jimboni. Ninatafuta njia za kuwaondolea umasikini, njaa na mambo kama hayo. Sasa wengine wanatafuta tu pa kunishika.
Mwandishi: Kwa hiyo Mh. Lowassa ndiye alikuwa kampeni meneja wako katika kutafuta ukamishna pale bungeni, au siyo Mheshimiwa?
Beatrice: Lakini kama anafanya kazi ya kampeni vizuri; ni vizuri tu. Isipokuwa kila mtu anajichukulia mwenyewe alivyo. Mimi ni mtu wa kazi sihitaji kusimamiwa hivyo. Na hebu tujadili hili; unajua kaka nyinyi mnafanya kazi kubwa. Sasa hii kusikia, sijui MwanaHALISI hivi, sijui hivi, pengine kuna watu wanachomekea vitu vyao. Tunapenda kazi yenu.
Mwandishi: Mheshimiwa nakushukuru sana.
Beatrice: Karibu sana tutafanya kazi pamoja.
Akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, mume wa Beatrice, William Shellukindo, alikuwa na msimamo mkali dhidi ya watuhumiwa wakuu wa ufisadi nchini na hiyo ndiyo inayoelezwa kuwa sababu ya kushindwa kwake ubunge katika mchakato wa ndani ya CCM.
Shellukindo alikuwa mbunge wa jimbo la Bumbuli mkoani Tanga kwa zaidi ya miaka 20, alishindwa katika kura za maoni na January Makamba, mtoto wa katibu mkuu wa CCM anayetajwa kuwa mfuasi wa mtandao wa Lowassa.
S0urce by Mwanahalisi – 9 March 2011