Mwandishi na Mtafusiri: Rulea Sanga
KITABU:
HATUA KATI YAKO NA UPONYAJI
Nguvu za Yesu ni kukuokoa, kukuponya na kukulinda inategemea na imani ulioyoipokea. Hii ina maanisha pale mtumishi wa Mungu anaposema, “Na Upone Sasa”, huwezi kupona kwa akili ya kawaida mpaka umeamini. Kwa lugha nyingine imani katika Yesu ni sheria muhimu sanakatika uponyaji wa kiroho, baraka na ukombozi. Mtumishi wa Mungu anaposema, “Umepona”, unakuwa umepona haswa, lakini una kazi ya kucheza na muujiza wako – unahitaji kuwa na imani
.

Rulea Sanga
Imani katika Yesu na kitu muhimu katika uponyaji wa kweli wa kiroho. Uponyaji wa Kiroho ni uponyaji haswa. Ugonjwa wako utaponywa sio kiroho tu bali hata kimwili.
Hivi ndivvo Biblia inamaanisha juu ya uponyaji huu dhabiti. Kuponywa katika akili ya kimwili au akili ya kawaida ni kuwa umeponywa kwa kulindwa katika hali ya kiroho.
Yesu hawezi kulinda nafsi ya mtu mpaka mtu mwenyewe ajue mapenzi ya Mungu, tukimaanisha Ukombozi katika Imani. Hii ina maanisha kwa kuamini mapenzi ya Mungu, haijalishi ni jambo gani unalo. Jambo linaweza kuwa ugonjwa au umaskini.
Katika Marko 9:22-23, Yesu alikubali kufanya ukombozi, lakini kwa taratibu muhimu. Kwa maneno mengine, Yesu alikuwa akisema, Ana nguvu za kutosha kuokoa kama tu pepo limemiliki imani ya kupokea. Katika kuponya hili, mtu akapiga kelele, “Nina imani!”
BOOK: THE STEP BETWEEN YOU AND CURE
RECEIVING BY FAITH-TB JOSHUA
Jesus’ power to deliver, heal and save depends on one’s faith to receive. This means, when a man of God says, “Be healed”, you can not be healed in true sense of it, unless you believe. In other words, faith in Jesus is necessary condtion to true spiritual healing, blessing and salvation. When a man of God says, “You are healed”, you are healed indeed but you have a role to play in your miracle – you need faith.

Faith in Jesus is a necessary condtion to true
spiritual healing. Spiritual Healing is healing indeed. Your sickness will be
healed not only spiritually but also physically.
This is what Bible means by being healed indeed.
Be healed in physical sense is being healed saved in the spiritual sense.Jesus can not save soul of a man until the man himself know God’s will in the matter. Salvation is by faith. That is, by trusting the known will of God, whatever matter is at hand. It could be a matter of sickness or of poverty.
In Mark 9:22-23, Jesus agreed to deliver but with necessary conditions. In other words, Jesus was saying He had enough power to deliver if only the demon-possessed faith to receive. On hearing this, the man shouted, “I have faith!”