IS PROPHET T.B JOSHUA CONTROVERSIAL?
SOURCE: sayuni.blogspot.com.
LINKS: http://sayuni.blogspot.com/2007/12/is-prophet-tb-joshua-controversial.html
Anaitwa Bishop T.B Joshua, anajulikana sana Nigeria kwa huduma yake ya uponyaji na kutenda miujiza mikubwa isiyo ya kawaida.Tembelea tovuti take utaona zaidi. 0716048039
Anaitwa Bishop T.B Joshua, anajulikana sana Nigeria kwa huduma yake ya uponyaji na kutenda miujiza mikubwa isiyo ya kawaida.Tembelea tovuti take utaona zaidi. 0716048039
Ila huko kwao Nigeria kuna baadhi wanampinga na wengine wanamuunga mkono.Wanaompinga wanamtuhumu kwa kuponya kwa nguvu za uchawi.Na wengine wanamuunga mkono wakisema ni mtumishi wa Mungu.Mwenye anajiita "a man in the Synagogue"
Nenda kweny forum hii uone malumbano ya wanigeria kumuhusu.
Hata Yesu hakua aminiwa na ndugu zake sembuse huyu tena Mwafrika, labda angekua mzungu kidogo wangemwamini.
So ninacho amini huyu ni mtumishi wa Mungu, na Mungu anamtumia.
Asante
Wanayoyasema kuhusu T. B. Joshua si mageni, the same thing happened to Jesus, aliambiwa na mafarisayo na wajinga wengine ana belizebuli,na anafanya miujiza kwa nguvu za giza. this is a product of corrupted minds of people, ambao mungu wao ni mdoogo sana hata asiweze kufanya miujiza ya jinsi atendavyo prophet T. B. Joshua. Yesu alishasema, aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo atazifanya, naam na kubwa kuliko hizo atafanya maana mimi nakwenda kwa baba. Thats what TB joshua is doing, the same thing that peter and others did, ie Preaching the word of God and demonstrating it wit Signs and Wonders. He is a man of God. wakati wa injili ya maneno matupu umekwisha, kama neno linasema katika Mathayo 8:17
.............Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu na kuyachukua magonjwa yetu" we expect to see sick people delivered by the name of Jesus and walking free, si biashara ya kuambiwa vumilia tu, duniani mna dhiki nyingi.... Injili ya maneno matupu imetosha, we need to see God at work because watu wa mungu wanateseka sana na uonevu wa shetani.
Je sisi tunaotumiwa tunakuwa na maoni gani kuhusu hizo huduma zetu?
Maana biblia inasema "...walakini msiyahukumu mawazo yake" Rumi 14. Sasa kama hatujayajua mawazo yake hatuwezi kuonywa tusiyahukumu na hatuwezi kuyajua mawazo yake mpaka ama ameyatenda au kuyasema, so tuangalie sana jinsi wanavyotenda na kusema kabla hatujawakubali ama kuwakataa hawa watumishi kwa vile kuna pia wale watakaosema "...Bwana, tulitoa pepo kwa jila lako, na kwa jina lako......na kutenda isahara nyingi...." na bado hatakuwa hawajui.